HII NDIO KASWIDA MPYA KUTOKA KWA SAIDI ADRAMAKISH
Muhali gani ndugu jamaa na marafiki nyote pamoja na mashabiki zangu na wale wote mnaesapport kazi zangu.
Si muda mrefu nitapata kuwaletea kazi angu mpya inayotambulika kwa jina la MJA ALIYEPOTEA ni kaswida yangu mpya iliyobeba ujumbe mzito kwa jamii yetu ya leo hususani vijana
Napenda kuwaahidi ya kwamba sitoweza waangusha ndgu jamaa na marafiki nyote kwani ninawaleteaa kaswida yangu hii kwa kuelimisha na kuwaburudisha inshallah naombeni sapport zenu katika hali na mali

Comments
Post a Comment