Hii ndio kaswida mpya ya msanii wa kaswida nchini tanzania Saidi adramakish Weka nia utafikia malengo Hu ndio msemo wa wahenga wakisema siku zote nia ndio kufikia malengo bila kukata tamaa katka maisha kwani mungu yupo pamoja na mwenye kuwa na subra.
Kama bado hujaipata kaswida hii inayotambulika kwa jina la #TUNAKUOMBA YARABBI Basi ingia kwa link hii kuipata kaswida hii nzuri https://youtu.be/k3b9rAidaQ0 muimbaji Saidi Adramakish