Posts
Showing posts from December, 2017
KASWIDA HII NI FUNZO KWA JAMII HASA JAMII YA LEO HII
- Get link
- X
- Other Apps
Pata kaswida yangu mpya inayotambulika kwa jina la #MJA ALIYEPOTEA ikiwa na moja ya mafunzo yanayotolewa na ujumbe mzito ndani ya kaswida hii kwa kuelimisha jamii na kuburudisha wapenzi wote wa kaswida dunian kote Hii si ya kukosa ifikapo january inshallah nakama bado hujapata kuingia ktk chanel yangu ya yputube basi hujachelewa ingia sasa na kisha #SUBSCRIBE #ADRAMAKISH TANZANIA kwa kupata video zangu mbalimbali
HII NDIO KASWIDA MPYA KUTOKA KWA SAIDI ADRAMAKISH
- Get link
- X
- Other Apps
Muhali gani ndugu jamaa na marafiki nyote pamoja na mashabiki zangu na wale wote mnaesapport kazi zangu. Si muda mrefu nitapata kuwaletea kazi angu mpya inayotambulika kwa jina la MJA ALIYEPOTEA ni kaswida yangu mpya iliyobeba ujumbe mzito kwa jamii yetu ya leo hususani vijana Napenda kuwaahidi ya kwamba sitoweza waangusha ndgu jamaa na marafiki nyote kwani ninawaleteaa kaswida yangu hii kwa kuelimisha na kuwaburudisha inshallah naombeni sapport zenu katika hali na mali