KASWIDA HII NI FUNZO KWA JAMII HASA JAMII YA LEO HII
Pata kaswida yangu mpya inayotambulika kwa jina la #MJA ALIYEPOTEA ikiwa na moja ya mafunzo yanayotolewa na ujumbe mzito ndani ya kaswida hii kwa kuelimisha jamii na kuburudisha wapenzi wote wa kaswida dunian kote
Hii si ya kukosa ifikapo january inshallah nakama bado hujapata kuingia ktk chanel yangu ya yputube basi hujachelewa ingia sasa na kisha #SUBSCRIBE #ADRAMAKISH TANZANIA kwa kupata video zangu mbalimbali

Comments
Post a Comment