KASWIDA HII YAWALIZA WATU

kaswida hii inayoshikiria nafasi ya kwanza nchini malawi na pwani ya tanzania bagamoyo imetokea kusikilizwa na watu wengi sana na kupendwa na watu wengi sana duniani
Hii leo imepata kuchukua nafasi ktk nafasi za kupewa heshima na kupatiwa tuzo moja pwani ya tanznia bagamoyo Ni heshima kubwa sana iliopata jitokeza kupitia kazi hii yangu inayotambulika kwa jina la yatima
Napenda kchukua nafas hii kutoa shukran za dhai kwnu shabik wangu sina cjha kuwalipa ila mung pekee ndie atakaewalipa nawapnda sana naomb mzid nisapoort kwa wing.

Comments

Popular posts from this blog